News

Mkurugenzi taasisi ya Universities Abroad Representatives Mr. Tony Kabetha akitoa nasaha zake mbele ya Wanafunzi waliojumuika na Wazazi wao.
Mkurugenzi taasisi ya Universities Abroad Representatives Mr. Tony Kabetha akitsalimiana na moja ya Wageni wa tukio hili.
Mkurugenzi taasisi ya Universities Abroad Representatives Mr. Tony Kabetha katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Wanafunzi wakiwa na Wazazi wao.