News
UNIVERSITIES ABROAD REPRESENTATIVE (UAR) kupitia kwa Mkurugenzi wake Ndg. Tony Rogers Kabetha inawaletea nafasi za kusoma nje ya nchi kwa ufadhili mkubwa utakaomuwezesha mwanafunzi kusoma vizuri. soma document hii hapa kuangalia vigezo na kozi zinazotolewa. Share on: WhatsApp
Taasisi inayowakilisha vyuo vikuu vya nje nchini tanzania, Universities Abroad Representatives inayo furaha kukutaarifu kwamba kama taasisi inayoaminika Tanzania imeongezewa muda wa usaili katika masomo ya udaktari, uhandisi na biashara. Taarifa hiyo imetolewa na mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo bwana Tony Rogers kabetha. Bwana Kabetha amesisitiza kwamba wanafunzi wanatakiwa changamkia fursa hizi maana mwisho wa […]
Universities Abroad Representatives (UAR) inapenda kukualika kwenye Lunch Party ya kuwaaga na kuwajulisha mipango ya safari ya kwenda Chuo kwa Wanafunzi wanaokwenda kusoma nje ya Nchi. Sherehe itafanyika (Jumatano, 12/09 saa Nane Mchana) Urban Rose Hotel Jamhuri Street, karibu na Kisutu police Post, Mwanafunzi aje na wazazi/Walezi wawili, maswali yote yataulizwa hapo, thibitisha kufika kwenu […]