News

UNIVERSITIES ABROAD REPRESENTATIVES(UAR) inakuletea fursa ya kusoma MBBS Nchini China.

KOZI:              Medicine & Surgery in China 🇨🇳

GHARAMA:  Sawa na Bei za hapa nchini Tanzania /chini ya hapo.

MWISHO:      30 September 2019.

_______________________________________________________________________________

Aidha UAR kupitia MKurugenzi wake kwa upande wa Tanzania ndugu Tonny Kabetha amesema kuwa UAR itakushauri nini ukasome Kwa kupitia Wataalam Wetu waliosoma na kuishi nje pia kupitia  Wataalam waliotafiti nje na ndani ya Nchi . Ameongeza kwa kusema kwamba

Sisi siyo Link(kiunganishi) wanaokuunganisha na vyuo tu ,bali sisi ni wawakilishi wa vyuo hivyo hapa nchini Tanzania.

Pamoja na hayo UAR tutakupeleka;-

  • Nchi iliyo bora kwenye Taaluma hiyo Unayotamani kuisomea
  •  kwenye vyuo vinavyotoa Scholarships kupitia sisi pekee
  • Utapata Admissions Papo Kwa papo
  • Tutakupa Bima ya maisha
  • Tunawatembelea na kutoa ripoti ya maendeleo Kwa wazazi wako.