News
Universities Abroad Representative > News > Adverisement > NAFASI ZA MASOMO YA UDAKTARI, UHANDISI NA BIASHARA NCHINI CHINA
NAFASI ZA MASOMO YA UDAKTARI, UHANDISI NA BIASHARA NCHINI CHINA
- 27/09/2019
- Posted by: MCHINJA
- Category: Adverisement UAR News
No Comments

Taasisi inayowakilisha vyuo vikuu vya nje nchini tanzania, Universities Abroad Representatives inayo furaha kukutaarifu kwamba kama taasisi inayoaminika Tanzania imeongezewa muda wa usaili katika masomo ya udaktari, uhandisi na biashara.
Taarifa hiyo imetolewa na mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo bwana Tony Rogers kabetha. Bwana Kabetha amesisitiza kwamba wanafunzi wanatakiwa changamkia fursa hizi maana mwisho wa maombi ni tarehe 30/09/2019
Hivyo basi ewe mwanafunzi usipitwe na fursa hii ya kipekee kabisa. Chakufanya fika kwenye Matawi yetu yaliyopo Mbeya,Mwanza, Arusha na Dar es salaam ili ujipatie fursa hizi adhimu. Au piga simu nambari 0658 489800 ili upate kuhudumiwa.
Comments
Share on:
WhatsAppAuthor: Mchinja
==>IT officer at UAR
==>The Commissioner For Communication and Public Relations of TAHLISO 2018 to 2019.
==>The President of Students Organization of NIT (SONIT) from 2018 to 2019.
==>BSc. EDU (Maths & IT).