UAR
10
Sep
Universities Abroad Representatives (UAR) inapenda kukualika kwenye Lunch Party ya kuwaaga na kuwajulisha mipango ya safari ya kwenda Chuo
Universities Abroad Representatives (UAR) inapenda kukualika kwenye Lunch Party ya kuwaaga na kuwajulisha mipango ya safari ya kwenda Chuo kwa Wanafunzi wanaokwenda kusoma nje ya Nchi. Sherehe itafanyika (Jumatano, 12/09 saa Nane Mchana) Urban Rose Hotel Jamhuri Street, karibu na Kisutu police Post, Mwanafunzi aje na wazazi/Walezi wawili, maswali yote yataulizwa hapo, thibitisha kufika kwenu […]
25
Sep
VIDEO : Wanafunzi 200 walivyoagwaUbungo plaza “Blue Pearl Hotel”
Tazama hapa Chini Wanafunzi 200 walivyoagwa Ubungo plaza “Blue Pearl Hotel” Jijini Dar Es Salaam Share on: WhatsApp